- The flash ni series iliyojipatia umaarufu mkubwa ndani ya muda mfupi ulimwenguni kote na kujizolea mashabiki wa kutosha ikiwa ndo kwanza ina episode 13 tu za season ya kwanza. Hii ni katika mpango ule wa DC comics kuwatengenezea masuper heroes mbalimbali series zao binafsi zinazojitegemea baada ya kuona hile series ya ARROW imepokelewa vizuri na wapenzi wa filamu hivyo wameendelea na mfurulizo wa kutoa series mbalimbali za masuper heroes na nyingine ambazo zipo njiani kutoka.
- THE FLASH TRAILER
Post a Comment